Wednesday, 26 July 2017

Aonavyo Ismaili Mussa Sumajr juu ya Soko Huria

Acacia Mining truck
Ukoloni bado upo Afrika kupitia SOKO HURIA, Demokrasia, Haki za Binadamu, Uwekezaji hasa (Foreigner Investor), kwahiyo tutarajie kauli hizi nyingi, tutarajie kutengwa na vikwazo kadha wa kadha bado tujue hadi leo tunalazimishwa kuwa "The darkness Continent" wanaanza Raia wao kisha zitafuata Serikali zao, hasa Ngoma itakolea wakipata mawakala wao watakaojificha katika Demokrasia yao.Image may contain: 1 person, smiling

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!