Wednesday, 17 May 2017
Wote wamewasili salama-Nyalandu
"Wote wamewasili Sioux City salama na WATOTO wote wako hospitali ya Mercy na wameanza huduma ya kutibiwa. Mtoto Doreen aliingizwa Moja kwa Moja kwenye chumba cha upasuaji mara alipowasili kutokana na hali ailyokuwa nayo.
Sadia na Wilson watafanyiwa UPASUAJI kesho. Akina mama wote wamepatiwa kila mmoja mkalimani wake kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano, na Dk Mashalla na Nurse wa Mt Meru wako bega kwa bega na madaktari wenzao kusaidia watoto" - Lazaro Nyalandu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment