Thursday, 18 May 2017

Hongera vijana wetu Serengeti boys kwa kuwashinda Angola 2-1

Timu ya soka ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti boys imechukua uongozi wa kundi B baada ya kuisambaratisha Angola kwa bao 2 kwa 1.
-Matokeo hayo yanaipa matumaini makubwa Serengeti boys kufuzu nusu fainali michuano ya Afrika na tiketi ya kushiriki kombe la dunia





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!