Tuesday, 16 May 2017
HABARI KATIKA PICHA
Waziri Mkuu wa Fiji Voreqe Bainimarama alipowasili katika ukimbi wa Yanqi Lake, mjini Beijing- China kuhudhuria mkutano wa viongozi wakati wa kongamano la ‘Belt and Road Forum for International Cooperation’, ambapo walijadili jinsi ya kuiga mfumo wa China katika ustawishaji wa dunia na maendeleo kwa wote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment