Saturday, 29 April 2017

Wanandoa watarajiwa-Madam Flora akiwa na mchumba wake

Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.


Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijini Mwanza.
Hizi hapa picha…
Picha kwa Hisani ya MillardAyo.com
                   

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!