Friday, 3 February 2017

Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

wema.png
Wema Sepetu akiwasili kituo kikuu cha kati.

======
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa amewahoji watuhumiwa wa kutumia mihadarati kwasababu watasaidia kuwafichua wauzaji.
Kwa upande wake Kamanda Simon Sirro amesema kuwa wamewakamata watuhumiwa watano na kuwahoji wasanii watano waliofika kituoni hapo leo ili kuweza kujua ni wapi wananunua mihadarati hiyo na mwisho wataweza kuwafikia wauzaji wakubwa.


[​IMG]
TID akiwasili kituo kikuu cha Polisi.
IMG_20170203_122238.jpg
Babuu wa kitaa akiwasili kituo kikuu cha Polisi

IMG_20170203_122657.jpg
Hamidu Chambuso aka 'Nyandu Toz' akiwasili kituo kikuu cha kati.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!