Thursday, 23 February 2017
Tuwe na mitazamo chanya katika kila jambo-Dina Marios
Hatuwezi kubadilisha yaliyopita,wala kutabiri yajayo.Ila tunaweza kutumia uzoefu tulioupata kwa tuliyopitia hapo nyuma.Kila changamoto huja na masomo yake.
Tutengeneze mwanzo mpya kwa maisha yajayo.Maisha na Muda yana namna ya kutufanya imara,wenye busara zaidi
na mitazamo chanya katika kila jambo."
Dina Marios.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment