Misuko ya Nywele kwa kutumia Uzi ni staili iliyotamba sana miaka ya nyuma, staili iliyomwakilisha mweusi vyema katika suala zima la urembo karne na karne, sasa hivi staili hii imerudi upya na inaendelea kutamba katika urembo wa Mwafrika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment