Tuesday 21 February 2017

Ridhwan Kikwete-Ni bora kufa maskini kuliko kutafuta utajiri kwa njia hiyo.


Ni jambo jema na la faraja kubwa kwangu kama uchunguzi unafanywa.Ni ukombozi kwangu.Ukweli utajulikana kuwa ni uvumi tu usiokuwa na chembe ya ukweli.Ni maneno ya watu wasionitakia mema.Sina la kuficha.Sifanyi biashara hiyo haramu na wala sijawahi kufikiria kufanya.Ni bora kufa maskini kuliko kutafuta utajiri kwa njia hiyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!