Tuesday, 7 February 2017

Mwanafunzi wa chuo afa maji kwenye 'birthday'


Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) Tawi la Mbeya Amon Nsemwa amefariki dunia wakati akiogelea katika ufukwe wa ziwa Nyasa Matema Beach kwenye sherehe ya kifamilia ya kuzaliwa yaani birthday.



Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Dhahiri Kidavashari amesema marehemu alikuwa na wanafamilia ndipo alipoogelea maji yalimzidi nguvu na kuzama na muda mfupi aliibuka akiwa amefariki.
Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi na kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Picha ya selfish aliyopiga marehemu saa 6:54 na kuandika ujumbe wa "up eary ready to explore" saa chache kabla ya kifo chake

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!