Tuesday 21 February 2017

Kijana akutwa ameuawa katika pori la NAFCO.


bc7ab7e2-01b3-41ed-81c9-d71a0e00c1d8.jpg

KIGAMBONI, DAR: Kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Sam, amekutwa ameuawa katika pori la NAFCO. Inadaiwa ameporwa Bajaji.

Kwa muda mrefu pori hilo limekuwa likilalamikiwa kuwa limekithiri kwa vitendo vya uporaji na ubakaji.
Wananchi wamekuwa wakilillalamikia pori hilo kwa kutumika kama kichaka cha kutekelezea vitendo vya ubakaji, uporaji mpaka vitendo hivyo viovu vimekuwa ni kawaida katika pori hilo kwa miaka mingi sasa.

KWA HISANI YA JMF:

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!