Thursday, 2 February 2017

DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

Image result for makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi

Makonda amesema:
- Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo, wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata

- Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku 7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe

- Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari

- Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya

1- Detective Koplo Noel (Kituo chake cha kazi ni Central Police Dar)

2- Dotto (Yuko Kituo cha Kijitonyama)

3- Mwingine anafahamika kama 'Makomeo' (Kituo cha Oyster-bay)

4- Glory (Yuko Kituo cha Kawe)

5- Inspector Fadhili (Yuko Kituo cha Kinondoni)

6- Steve (Kinondoni)

7- James (Kinondoni)

8- Ditective Koplo (Wille)Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewataja pia wasanii wanaojihusisha na matumizi na uuzaji wa madawa ya kulevya na kuwataka kuripoti kituo cha polisi kesho.

30c81398-0fac-4c44-a739-a93705150684.jpg

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!