Monday 16 January 2017

Mtoto wa Barrow afariki baada ya kuumwa na mbwa

Bwana Barrow yuko nchini Senegal kabla ya kuapishwa siku ya Alhamisi.Haki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionBwana Barrow yuko nchini Senegal kabla ya kuapishwa siku ya Alhamisi.
Mtoto wa kiume wa rais mteule wa Gambia Adama Barrow amefariki baada ya kuumwa na mbwa.

Habibou Barrow alifariki alipokuwa akipelekwa hospitalini kufuatia kisa hicho cha siku ya Jumapili, kilichotokea eneo la Manjai karibu na mji mkuu Banjul.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!