Wednesday, 25 January 2017

Meseji send!


WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe...


Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE,anakufuatilia mambo yako,uko wapi,umekula,umekula nini,umekula saa ngapi,kwanini hujalala,kwanini umepiga picha na mdada asiyemjua,kwanini hujamtafuta nusu saa,kwanini uko Online Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA,"Oh huyu Mwanamke ana wivu sana mi siwezi"
Mwanamke mwenye Wivu SHE IS IN LOVE...SHE IS LOYAL..SHE IS FAITHFUL
Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO TU,they are after something,Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza RED BULL BARIDI
Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu,kama umempata mmoja kati ya hawa MSHIKILIE, NA MPENDE SANA,USIMTIBUE...Akiondoka huyo utapata Bata la Uswahilini,hata uuchune SIKU 2 na yeye hakutafuti,utabakia na Majuto while She is Gone na amempata aliyeona thamani yake...
WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES,Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO HUU!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!