Rais Magufuli atengua uteuzi mwingine leo na kuvunja bodi ya TRA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Bernard Mchomvu.
Rais Magufuli amefanya utenguzi huo ikiwa ni pamoja na kuivunja Bodi yote ya Wakurugenzi huku taarifa ikisema kuwa uteuzi mwingine wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.
No comments:
Post a Comment