Mtanzania Fredy Uisso (kushoto) aliyekwenda Alabama nchini Marekani kushiriki mashindano ya upishi, akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi Mtendaji wa World Food Championships, Mike Mc Cloud mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nne wa mashindano hayo .
Uisso anaandika historia ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuchaguliwa kushiriki fainali za mashindano hayo na kuibuka mshindi nafasi hiyo huku akiwabwaga wapishi 21 kutoka hoteli kubwa na maarufu duniani walioshiriki fainali hizo...
Hongera sana!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment