Saturday, 19 November 2016

Majanga!


Jinsi nilivyosikiliza hii story kwa kweli nashindwa kuelewa hata mama wa huyu mtoto unakuwa na nguvu gani hata ya kuongea malipo sijui eti huyo ustadhi alipe laki mbili wayamalize juu kwa juu, hivi kitendo alichofayiwa mtoto wako kweli kunakumalizana? Ningemmaliza huyo baba kabla hata hajafika polisi, nadhani ningemjeruhi na chochote kilicho karibu yangu aisee! halafu huyu mjumbe nae ni wakulala ndani anoanekana kama anajua mchezo mzima, na hana uchungu na huyu malaika wa mungu, Mjumbe nae ni wakulala ndani kwa kutaka kesi imalizwe juu kwa juu. Watu kama hawa ni wakufungwa milele shenzi type!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!