Friday, 25 November 2016

Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)


MAREKANI: Msanii Ali Kiba, ameshinda tuzo mbili moja ikiwa ni Mwanamuziki bora wa mwaka na wimbo bora katika tuzo za NAFCA na The Nol.
- Tuzo hizo zilitolewa katika ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year. Source: @bongofive

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!