Saturday, 8 October 2016
HUYU BABA NI HATARI!
Huyu ndiye Salum Njwete(Scorpion) inasemekana ndiye aliyemtoboa Said Ally macho na kumpa kilema cha maisha, hebu fikiria mtu kama huyu inaonekana ni mshenzi toka zamani, hebu ona hapa anavyofanya hayo mazoezi na hilo panga jamani!
Jamani sasa mtu kama huu hata ukikutana nae njiani utamuwazia kuwa ni mnyama kiasi hicho? kweli umdhaniae ndiye siye, mie hoi sina hamu" kamtia mwenzake kilema cha maisha bila huruma, huyu mtu hafai kuwa uraiani tena kiukweli imeniogopesha mno!
Said Ally kabla na baada ya kutobolewa macho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment