Thursday 27 October 2016

BUKOBA: Wauaji wa Albino wahukumiwa kunyongwa hadi kufa




BUKOBA: Mahakama Kuu imewahukumu kunyongwa hadi kufa, Pankras Minago na Lameck Bazil kwa kumuua mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrea.


- Wanaume hao wawili walimuua mlemavu huyo mkazi wa Wilaya ya Biharamulo mwaka 2008.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!