Wednesday 17 August 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa madhehebu ya Bohora duniani


Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa madhehebu ya Bohora duniani na kuitaka jamii hiyo kuwekeza na kufanya biashara hapa nchini ili kufikia azma ya serikali ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!