Sunday 26 June 2016

MH.JANUARY MAKAMBA ASHIRIKI MAHAFALI YA 24 YA CHUO CHA BIBLIA

12



Mhe.January Makamba Akiwasili chuoni hapo.
Mhe.January Makamba (MB),WaziriwaNchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) ameitumia SikuyaTarehe 25 /6/2016 kushiriki katika mahafali 24 yachuo cha bibliaVuga  (VUGA BIBLE )kilichopo katika halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga Vilevile Mhe.January Makamba alipata fursa ya kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayofanywa na chuo hicho,
Pia  aliupongeza uongozi wa chuo kwakutoa elimu mbalimbali kwa wananchi waishio karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.3Akitazama sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufuga samaki Akitazama sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufuga samaki.
4Akijifunza namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwakutumia udongo wa mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.
6Akijifunza historia ya chuo hicho kwanjia ya picha.710Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
Pichazotena Imani Selemani Nsamila

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!