Monday 20 June 2016

Bajeti ya Mwaka 2016/17 yapitishwa


ISSUE-1-620x308
Jumla ya wabunge waliokuwepo ni 252 pamoja Naibu Spika, Dk Tulia Ackson anayeongoza kikao hicho.

Wabunge 137 hawakuwepo katika upigaji kura, wakiwemo wabunge wa Ukawa waliotoka katika kikao cha asubuhi ukiwa ni mwendelezo wa kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia.
Muswada wa Fedha kwa mwaka 2016 nao umepitishwa na wabunge.
MWANANCHI.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!