Monday 20 June 2016

AJALI:


AJALI: Basi la kampuni ya NBS lilokuwa likisafiri toka Dar kwenda Tabora limepata eneo la Gairo. Watu 4 wafariki na 10 wajeruhiwa.


- Aidha basi la KISBO nalo limejeruhi watu kadhaa baada ya kupata ajali mkoani Morogoro.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!