Kwa taarifa iliyoifikia leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo laMagomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO .COM
No comments:
Post a Comment