Sunday, 22 May 2016

Jipya kubwa kutoka kwa Wema Sepetu kwa ajili ya Mashabiki wake

Staa wa Movie Bongo, Wema Sepetu ambaye amekuwa akizichukua headlines mara kwa mara, Sasa amezidi kupiga hatua nyingine ambayo inamfanya aingie kwenye rekodi kwa kuwa staa wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na Kati kwa kuanzisha Mobile appilication itakayokuwa ikitoa taarifa mbalimbali za kazi zake na maisha yake.


May 22 2016 Wema Sepetu ameizindua rasmi ambapo mgeni rasmi wa shughuli hiyo Waziri wa Habari, sanaa, utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akapata nafasi ya kuyazungumza haya..
>>>’kwa mfumo huu Wema amefanya ndoto kubwa ya wasanii wetu ianze kutimia, amefanya nchi ijisikie fahari kwa sababu ni msanii wa kwanza kwa afrika mashariki na kati  kuanzisha huduma hii, ili ni jambo kubwa sana na sisi kama serikali tutaliunga mkono’ 
Application hiyo ya Wema Sepetu ina lengo la kuhakikisha mashabiki wake hawakosi chochote ambacho kitakuwa kikitokea kwa staa huyo ikiwemo kazi zake, maisha yake kwa ujumla.
Application hii itawahusu watumiaji wa Smartphone na hata ambao si watumiaji wa Smartphone,ambapo watumiaji wa Smartphone wanaweza kudownload application hiyo kama zingine na wasio na Smartphone watajiunga kwa kutuma neno wema kwenda 15404 na watakuwa wanapokea meseji mbili kila siku za matukio yanamhusu staa huyo.
.
Wema Sepetu, Muna Alphonce na Idriss Sultan
.
Taji Liundi (MC)
.
.
.
Mwakilishi kutoka Push Mobile
.
.
.
Wema Sepetu
.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mama wema na Wema Sepetu
.
.Picha zote kwa hisani ya Millard Ayo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!