Friday 6 May 2016

HATIMAYE ANDREW SANGA(KING DREW) APUMZIKA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE

Mtanzania aliyekuwa akiishi Marekani Adrew Sanga aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana huko Marekani wiki mbili  zilizopita, amepumzishwa katika nyumba yake ya milele.


Kifo cha Andrew Sanga kimegusa watanzania wengi waliomo Tanzania na nje ya Tanzaia hususa Marekani alikokuwa akiishi.
Mazishi ya Adrew yamehudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo viongozi kadhaa wa serikali.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!