Saturday, 9 April 2016
TOKA KWA ISMAIL MUSSA SMAJR:
Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi,
Masikin jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili,
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa mzuri, demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu tafuta deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji uamke mkuu.
Na make money mchana na make money usiku iwe kwa tai au kwa jeans mie naingiza mkwanja tu Naingiza mkwanja na jua ndani ya giza totoro
Mwenzangu unazibagua mie sina nazo mgogoro
Begi mgongoni na ramani kama mzungu,
sina hata mia ya urithi vyote hvi ni vya kwangu,nishaenda shule bila viatu,nshatoa funza kama kuku,ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment