Thursday, 14 April 2016
TAHADHARI MVUA KUBWA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TZ:
Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba
Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari na hatua stahiki. Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo kimbunga FANTALA katika Bahari ya Hindi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment