Thursday, 7 April 2016

RAIS MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI RWANDA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wamerejea nyumbani wakitokea nchini Rwanda alipokwenda kwa ajiri ya shughuli ya kikazi. Hii ni safari ya kwanza kwa mhe. Rais kwenda nje ya nchi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!