Saturday 2 April 2016

MITINDO/ MISHONO YA VITENGE KWA WOTE!

 

 Beautiful kitenge Blazer!





Wanaume sasa wanakwenda na wakati na kiukweli wanapendeza zaidi na mavazi ya kitenge, sasa hivi kitenge kinashonwa kama shati lolote lenye muonekano wa kisasa zaidi.






















 Simple & Elegant!
















Mix ya Kitenge na Satin!









Kitenge kwa wanaume pia!




Watoto nao wananoga na mishono ya kitenge!!
 



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!