Wasamehe hata kama hawajaomba msamaha,
Acha waonekane wapo Sahihi kama ndicho hicho wanachokihitaji,
Waonyeshe upendo kisha achana nao,
Usijibane katika Akili/Ufahamu mdogo, itakukosesha kuwa na Amani.
Waonyeshe upendo kisha achana nao,
Usijibane katika Akili/Ufahamu mdogo, itakukosesha kuwa na Amani.
#Maisha ni vile unavyoyapanga, Amani ya moyo wewe ndiye unalojukumu la kuifanya iwepo au itoweke.
No comments:
Post a Comment