Wednesday, 6 April 2016

AJALI: Watu 4 wamepoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe - Dar. Wengine watano wajeruhiwa.


Watu wanne wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika eneo la Kawe Ukwamani kwa kwandobe Kawe jijini Dar es Salaam.

Waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba.

Udongo uliporomoka.

Wengine watano wamejeruhiwa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!