Wednesday, 9 March 2016

RAIS WA VIETINAM ALIPOTUA NCHINI USIKU WA KUMAKIA LEO

vi1
  Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakiteremka kwenye  ndege  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.


vi3
Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakipunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
vi2
Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang, Mkewe Mai Thi Hahn  na  Mkuu, Kassim Majaliwa wakitazama ngoma baada ya Rais huyo   kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!