RAIS MAGUFULI NA RAIS WA RWANDA BAADA YA KUMALIZA MAZUNGUMZO JIJINI ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.
No comments:
Post a Comment