skip to main |
skip to sidebar
Rais John Magufuli apasua jipu! Azungumzia gharama kubwa zilizotumika kukodi ukumbi wa mkutano wa 17 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na jinsi pesa hizo amabavyo zingetumika katika kutatua shida mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment