Wednesday, 30 March 2016
RAIA WA JAPAN ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA KONOIKE AKUTWA AMEJINYONGA-TABORA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja Raia wa Japan aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Konoike inayoshughulika na mradi wa maji vijijini,amekutwa amejinyonga katika chumba cha kufanyia uchunguzi wa udongo,bila kuacha ujumbe wowote,jambo ambalo limeibua mshangao kwa wananchi wa Tabora na wafanyakazi wenzake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment