
Baada ya kuwasili kwa Single Mtambalike na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili kutokea Lagos Nigeria, March 8 ilikuwa ni zamu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ nyumbani na tuzo yake ya filamu bora ya Afrika Mashariki, mtu wangu wa nguvu nimekusogezea Pichaz 20 za watanzania walivyojitokeza kuipokea tuzo hiyo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016.















\





Picha zote kwa hisani ya Millard Ayo .com













No comments:
Post a Comment