Wednesday, 30 March 2016

KAULI YA DIAMOND BAADA YA MASHABIKI WAKE KUTEMBELEA WATOTO YATIMA TANDALE




Ushabiki si ubingwa wa kutukana ama kumkashifu flani, ushabiki ni kuwa muwakilishi Mwema wa Msanii au Mtu Umpendae.....Eeh Mwenyez Mungu, naomba uwabariki Mashabiki zangu wote na popote walipo na kuwaekea Wepesi katika kila jema na la Kheri Waliombalo....🙏 #TeaMWasafi #TeamWCB#Wasafi for Life!





🙏

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!