Friday, 4 March 2016

JINSI YA KUJUA UZITO UNAOTAKIWA KUWA NAO KULINGANA NA UREFU WAKO.



Ni muhimu kujua kuwa kila mtu ana kiwango sahihi cha uzito anapaswa kuwa nacho kulingana na urefu wake. Kujua uzito huu kunakuwezesha kuweka malengo sahihi ya uzito wa kufikia wakati wa diet na mazoezi. Jedwali (Table) hapo chini unaitumia ifuatavyo: Kwanza pima urefu wako kwa sentimita. Kisha chukua urefu wako na angalia kiwango cha uzito unaotakiwa kuwa nao kwa kilo kwenye jedwali hapo chini. Sasa unaweza kuweka malengo sahihi zaidi wakati unapungua




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!