skip to main |
skip to sidebar
JELA MAISHA KWA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA SABA
Mshtakiwa Evarist Biyunze (23) akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi, baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela jana. Kijana huyu amefungwa jela kutokana na kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba.
No comments:
Post a Comment