Manager wa Mfuko huo wa GSM Foundation Shannon Kiwamba akikabishi mfano wa hundi ya Shillingi Millioni 20 kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Mifupa ya Moi Muhimbili Hospital Dr. Othman Kiloloma, kati kati ni Khalfan Kiwamba Mratibu wa Mawasiliano wa GSM Foundation na Kibwana Matokeo Operational Coordinator wa mfuko huo. GSM Foundation hivi karibuni pia walitoa msaada mzito wa jengo la kufanyia operation kwenye Hospitali ya Mwananyamala. |
No comments:
Post a Comment