Monday 15 February 2016

Vitanda vilivyopangwa katika Jengo la Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto baada ya watumishi kuhamisha ofisi zao na kuliacha kwa ajili ya matumizi ya wodi ya wazazi.

Vitanda vilivyopangwa katika Jengo la Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto baada ya watumishi kuhamisha ofisi zao na kuliacha kwa ajili ya matumizi ya wodi ya wazazi.

PICHA‬ Katibu Mkuu wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dk Mpoki Ulisubisya (kushoto) akishiriki katika kuhamisha vitu kutoka katika ofisi ambayo imebadilishwa matumizi na kuwa wodi ya wazazi katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni sehemu ya vitanda vipya vinavyowekwa kwenye wodi hizo mpya. Walihama baada ya kuamriwa na Rais Magufuli kufanya hivyo ili kupisha kinamama wajawazito kupewa nafasi baada ya kuwakuta wakilala watano watano alipotembelea Muhimbili wiki iliyopita

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!