
Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Osterbay Dar es salaam, ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza na baadae mwaka 1995 kurudi tena kufundisha hapohapo hadi ilipofika time ya kuwa First Lady.
Hii ni shule pia aliyokua anafundisha Mama Salma Kikwete, mke wa Rais wa Tanzania kwenye awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete ambapo baada ya JK kuwa President ilibidi Mama Salma aage kama hivi alivyoaga Mama Janeth Magufuli.

.

Janeth Magufuli

Mama Janeth Magufuli akikabidhi zawadi kwa wanafunzi

Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Mama Janeth Magufuli

.

Baadhi ya Walimu katika picha ya kumbukumbu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda


.

.

.



Janeth Magufuli akitokwa machozi wakati wa kuagana na wanafunzi wake

.

KWA HISANI YA MILLAR AYO.COM













No comments:
Post a Comment