Thursday 18 February 2016

MAGUFULI APIGA MARUFUKU UAGIZWAJI WA SUKARI KUTOKA NJE



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na makundi mbalimbali yaliyoshiriki katika kampeni na kutangaza rasmi kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ili kulinda na kuviendeleza viwanda vya hapa nchini.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!