Wednesday 17 February 2016

KUTOKA KWA IDRISSA SULTAN


 



 
 
 
Hivi ndivyo unavyosomeka ujumbe wa Idris kwa lugha ya Kiswahili  
Kwa mapacha wangu ambao walikuwa bado hawajazaliwa 
“Ni haraka sana mmeingia katika mfumo wa maisha yetu, lakini ni haraka pia mmetuacha, sikuwahi kupata nafasi ya kukutana na nyinyi, nina vingi nataka niseme ninavyofikiria ndani ya kichwa changu vinatosha kunifanya mwendawazimu, ukizingatia mmeishi kwa wiki sita pekee, tuliwapenda sana na natamani ningepata nafasi ya kuwashika, mungu ametoa na mungu ametwa kama ambavyo amepanga na hatuwezi kulalamika huenda ametuandalia mengine mazuri zaidi” 

Idris Sultan kupitia vyombo vya habari kadhaa aliripotiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, lakini pia ni Miss Tanzania wa mwaka 2006 Wema Sepetu, kabla ya baadae mwenyewe kukiri kuwa katika mahusiano na Wema.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!