Saturday 6 February 2016

Askari Polisi 3 wamefariki dunia na wengine 3 kujeruhiwa vibaya ktk msafara huko Singida kwny Sherehe za Miaka 39 ya kuzaliwa CCM



Habari zilizotufikia hivi punde tu zinasema kwamba askari 3 wamefariki dunia huku wengine 3 wawili wakiwa majeruhi na hali zao ni mbaya baada ya kupata ajali mbaya iliyosababishwa na tairi la gari yao iliyokuwa katika msafara wa viongozi wa CCM mkoani Singida kupasuka na kupinduka katika eneo la Mkiwa, wilayani Ikungi.

Mwenyezi Mungu apokee roho zao hao MAREHEMU na awape nafuu ya haraka MAJERUHI
.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!