Monday, 4 January 2016

WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA KUSOMBWA NA MAJI-DODOMA



Watu wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi wamefariki Watoto wawili,na wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.
Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi Devid Misime amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!