Tuesday 5 January 2016

STEVIE WONDER! KIPOFU ALIYETINGISHA ULIMWENGU KWA MUZIKI WAKE



Stevie Wonder (amezaliwa tar. 13 Mei 1950 mjini Saginaw, Michigan). Jina lake halisi ni Steveland Hardaway Judkins lakini alibadili jina lake la mwisho na kuliweka jina la ndoa la mamake, Morris.


Ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za binaadam wa Kimarekani. Amekuwa kipofu tangu kuzaliwa kwake. Wonder amekuwa miongoni mwa wasanii waliowakubwa na wenye mafanikio-kujulikana katika studio ya kurekodia ya Motown.
Amerekodi zaidi ya albamu 23 na kutoa vibao vingi vilivyo maarufu kabisa. Alitunga na kuzirekodi mwenye baadhi ya nyimbo zake na za watu wengine vilevile. Wonder vilevile ni mpigaji wa ngoma, gitaa, sinthesaiza, congas, na pia almaarufu kwa kupiga kinanda na harmonica.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!