Thursday, 7 January 2016
SH BILIONI 18.77 ZATOLEWA KWA AJILI YA KUTOA ELIMU BURE KWA WANAFUNZI WOTE NCHINI.
Waziri wa fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Fedha zilizo pelekwa katika halmashauri zote hapa nchini kiasi cha shilingi bilioni 18.77 kwenye akaunti za shule za msingi na Sekondari kwa ajili ya kutoa elimu bure kwa wanafuzi wa shule zote hapa nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment